Jinsi ya Kununua
1. Chagua aina ya manunuzi (Rejareja au Jumla)
2. Chagua bidhaa kisha bonya "Add to Cart"
(a) Kuongeza idadi bonya "View Cart"
(b) Kufanya malipo bonya "Check Out"
(c) Kuongeza bidhaa nyingine bonya "Continue Shopping"
3. Kukamilisha manunuzi (Check out) Jaza fomu ya manunuzi kwa usahihi
(a) Chagua "shipping method"
(b) Chagua namna ya kulipa (Pesapal (wote) au COD (Lushoto))
(c) Bonya "Pay now" au "Complete order"
4. Jinsi ya kufanya malipo (Pesapal)
(a) Chagua njia ya kulipia (mitandao ya simu and benki)
(b) Weka namba ya simu au taarifa za kibenki.
(c) Bonya "Proceed", Kisha utapokea SMS ya kuthibitisha malipo.
(d) Baada ya kuthibitisha Bonya "Complete order"
5. Kutoa maelekezo ya ziada, bofya sehemu iliyoandikwa "Chat" (upande wa kulia kwa chini), na naandika jumbe wako hapo.
6. Wahudumu wetu watakamilisha order yako na kuhakikisha inakufikia kwa wakati.